Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Muwage na huruma na nyie. Kha !!!
Ngoja aje jamaa anajua kuchambaa hata mwanamke simuwezi😁😁😁😁Hahahahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anataka kutulazimisha tuishie kula urojo aka mix kisha tukalale[emoji23][emoji23].
Mi siwezi hiyo, nipo mahali hapa nauonga supu na ndizi za kutosha, mambo ya urojo nawaachieni nyie[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Halafu sijui kapotelea wapi VE wako. I hope huko aliko ni mzima. Nina wasiwasi kwa sababu hata hii hoax ya juzi juzi hapa hakusikika. Yaani asikie nduli wake kapatwa na tatizo kweli asijitokeze? Tumuombee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kabisa hapa kuna amani.....Huko kwenye siasa anapaweza BAK VE
Kwakweli tumuombee VE wangu kapotea sanaHalafu sijui kapotelea wapi VE wako. I hope huko aliko ni mzima. Nina wasiwasi kwa sababu hata hii hoax ya juzi juzi hapa hakusikika. Yaani asikie nduli wake kapatwa na tatizo kweli asijitokeze? Tumuombee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji28]
[emoji818][emoji818]