Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,585
- 5,804
Kwa upande wangu nilipenda sana kufanya kazi za usalama mwanajeshi,polisi, afisa usalama wa taifa nk nk sasa apo malengo ninayo nifanye kazi ipi labda hapo ili yatimie?Nimekua kama nilivyojiwekea malengo,hakuna cha kurogwa ukijiwekea malengo na kufanya kazi ili utimize malengo yako yatatimia tu,
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.