Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chakula bora (Balanced diet) ni chakula kinachokupa virutubisho vyote muhimu mwilini katika milo mitatu ya siku. Chakula bora, kama ilivyo kwa kila kitu bora, hakiliwi kwa bahati, bali huhitaji mipango madhubuti ya kupanga chakula cha kila siku kinachojali afya yako na familia.
 
Kwa kawaida ni kazi ya mama kuamua chakula gani kinaliwa nyumbani. Lakini, mie nadhani ni swala la familia nzima kuamua chakula gani kinafaa kuliwa sababu chakula ni swala la kila mtu kwenye familia. Hapa ndio panapotuleta kwenye swala zima la kupanga ratiba ya chakula kwa wiki nzima
 
Back
Top Bottom