Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,585
- 5,804
Kwa upande wangu nilipenda sana kufanya kazi za usalama mwanajeshi,polisi, afisa usalama wa taifa nk nk sasa apo malengo ninayo nifanye kazi ipi labda hapo ili yatimie?Nimekua kama nilivyojiwekea malengo,hakuna cha kurogwa ukijiwekea malengo na kufanya kazi ili utimize malengo yako yatatimia tu,
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
Jaribu kufuatilia taratibu/vigezo vinavyohitajika ili kujiunga/kufanya kazi huko, kisha jitahidi kwa uwezo wako huku ukimuomba Mungu,Kwa upande wangu nilipenda sana kufanya kazi za usalama mwanajeshi,polisi, afisa usalama wa taifa nk nk sasa apo malengo ninayo nifanye kazi ipi labda hapo ili yatimie?
Wapi wanangu wa Unga Limited
Kuingiza nyimbo 1 kwenye simu bei gani?Pilot
ila saivi naingizia wateja nyimbo kwenye memory card na simu zao
na kuwaekea whatsapp kina mama/baba wasiojua kutumia smart phone
Nilitamani kuwa doctor.