moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huku burigi mabasi hamna daraja limetika huko njian
Kaka ake tunaomba picha[emoji23]
Safi kaka moud. Hayo mashart ni yapi?Nitawaletea picha ya team captain kwa mashariti nafuu[emoji23][emoji23]
Safi kaka moud. Hayo mashart ni yapi?
Hahahaha jamaniiiMasharti nafuu sana, wala usijali.
Unakuja pm, unaweka picha yako unapewa picha ya mfalme[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani ni kama kubadirishana mateka[emoji2211][emoji2211][emoji2211]