Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unai Emery amesisitiza kuwa Arsenal ilifanya uamuzi mzuri kumsaini Nicolas Pepe, 24, badala ya mshambuliaji wa Ivory Coast Zaha msimu huu. (Mirror)



Manchester United imeanza mazungumzo na klabu ya Roma kuhusu kumpatia kandarasi ya kudumu beki Chris Smalling aliye katika klabu hiyo kwa mkopo . (Express)
 
ha ha ha sio post zote zinastahili πŸ‘ nyingine inabidi tuweke dislike maana ni dhambi kupita post bila kuweka chochote
Hahah bora umejileta. Usiwe dislike bana haipendez ipite tu kama hujaipenda.

Majukwaa mengine huwa naweka post za uchokozi ili kuvuna mapovu zaidi na kweli huwa nayaoga ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…