Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Full mpapaso ngwararaa ngwararada. Daah wakubwa wanafaidi kucha heheheeFull kuchomwa chomwa. Daah maisha haya daah!
Sawasawa kabisa. Ni post gani uligonga dislike nikuongezee zingine?ha ha ha bado inahesabiwa tu kama reaction score, kwa hio ni sawa tu na like sema yenyewe imeanza na dis-
Convenience tu hakuna kipya...Kukwambia ngumu
Application ina utamu gani?maana sijawahi kutumia
Juma pili leo bando la usiku halikukomi?Alamsik
ππππ Dah!Full mpapaso ngwararaa ngwararada. Daah wakubwa wanafaidi kucha hehehee
Hehe maybe huwa wana click vibayaTangu jana naziona ila leo nimeiona kwa post ya bro don.
Mie mara ya kwanza kupata dislike roho ilipiga paaa niliboreka jaman
ππππNani boya huyo kanipa dislike?
Halafu sisi tunaotumia App hizo dislike wala hatuzioni [emoji16][emoji16][emoji16]
Application ni ya wazee.Kukwambia ngumu
Application ina utamu gani?maana sijawahi kutumia