Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi pia natumai App, kwahiyo sizioni na kwakweli nimekwazika, sidhani kama hapa ni mahali pa dislike.
Jamani huu ni uzi wa likes tu, hata kama post hujaipenda fumba macho gonga likes ili tusonge mbele.
Wageni kwenye uzi hao. Uzi unasema ni uzi wa likes wewe unaweka dislike. Si ukaanzishe uzi wako wa dislikes huko! Post kama huipendi unaipotezea tu kiroho safi na libeneke linaendeelea...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…