Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

EFZLne0XsAE3zJC.jpg
 
Filippo Inzaghi (46)

Mtaliano Filippo Inzaghi alikuwa na raha yake kumtazama kutokana na ule uhodari wake wa kutupia mipira nyavuni. Kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya straika huyo alitamba akiwa na vikosi vya Juventus na AC Milan, ambapo bao lake la kwanza alifunga Septemba 17, 1997 kwenye mechi ambayo Juventus waliiangushia kipigo cha mabao 5-1 timu ya Feyenoord. Inzaghi alionyesha ubora mkubwa kwenye kufunga, akipachika nyavuni mabao 17 katika mechi zake 26 za kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na Juventus, ikiwamo hat-trick yake aliyofunga kwenye mechi ya ugenini hatua ya robo fainali dhidi ya Dynamo Kyiv iliyokuwa moto mwaka 1998. Baadaye alienda zake Milan.
 
Back
Top Bottom