Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
God is good all the time
Sijambo marahabaaa,za asubuh?Wewe binti toka Burigi hujambo?
Salama kabisa leo nina furaha sana natamani ata kukupa Zawadi gani sijui 😀Sijambo marahabaaa,za asubuh?
Waaaowww ni jambo gani limekufurahisha?Salama kabisa leo nina furaha sana natamani ata kukupa Zawadi gani sijui 😀
Ni huku tu kwenye maisha ya Dunia halisi kuna mambo flani yameenda kama ilivyotakiwa yani daah!Waaaowww ni jambo gani limekufurahisha?