moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndiyo maana mi sitaki watu wajue siku yangu ya kuzaliwa.
Sipendagi huo ujinga
Sipendagi huo ujinga
Hii tabia huwa siipendi hata kuiona
Hii tabia huwa siipendi hata kuiona
JamaniKaribu jiraniView attachment 1247876
Yani watu wana mambo ya ajabuNdiyo maana mi sitaki watu wajue siku yangu ya kuzaliwa.
Sipendagi huo ujinga
Hmm nikiendekeza njaa zangu nitakuwa mlafi 😂😂Kula hakusubiri muda wewe,
Wakati wa njaa ndiyo wakati wa kula
Keshokutwa Leo nimeshakulaNjoo nikununulie
Nipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,Wapi ningendako?
Chips kuku ni tamu kuliko sembe, hongera sana aiseeNishakamilisha hitaji langu 😂😂
Innah lillah wainnah lillah Rajiun ......Nipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
Kwakweli nimeamini hilo bro"Kuchapiwa hakuepukiki"---SYB
😂😂😂😂 unaujua utamu wa sembe maini wewe?Chips kuku ni tamu kuliko sembe, hongera sana aisee
Poleni sana.Nipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
Acha kushindanisha epe kuku na vitu vya ajabu 😀😂😂😂😂 unaujua utamu wa sembe maini wewe?
Haufikii kwa kiepe kuku
Pole sana ninge.Nipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
King jana kiepe kuku sidhan kama kilipona haahahahaAcha kushindanisha epe kuku na vitu vya ajabu 😀
Ila wakishishua bhana list yako ya menu sio poa
Oooh Jizazi. Pole sana bro. Apumzike kwa amani babetu mdogo huyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
Heheh! Kilipona sana .....King jana kiepe kuku sidhan kama kilipona haahahaha
Subiri uoe ndo utausikilizia muziki wa kuibiwa vizuri. Unaumia kuibiwa hawa wanaokuzindua hapa? You haven't seen nothin' yet [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mimi nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi!
[emoji3][emoji3]
Asante jirani...safi sanaKaribu jiraniView attachment 1247876
Heheh! Kilipona sana .....
Mambo nini?
Miisho ya miaka kweli huwa siyo kipindi kizuri sijui kwa nini.Pole sana ninge.
Hii miezi huwa naiogopa sana. Kuna mwaka Nilipoteza mfululizo from sept upto dec