Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1572349363724.png
 
Oooh Jizazi. Pole sana bro. Apumzike kwa amani babetu mdogo huyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Rajiuun
(Hakika Sisi ni waja wa Mola Na kwake ni marejeo yetu)
Asante sana bro.. Njia yetu sote hiyo, tayali mzee ametangulia ni kumuombea kwa Mungu tu, na pia kutukumbusha kuwa tusijisahau sana hapa duniani..
Ubarikiwe bro.
 
Kawaida sana haya mambo bro. Tena ukimvisha pete ndiyo majamaa yanaanza kupiga shoo za maagano. Kama ndiyo umewekeza kabisa kabisa moyo wote na resources unaweza kuathirika sana usipokuwa na washauri wazuri. Ndiyo maana mi nikiona njemba kaua mtu kwa hizi ishu wala sishangai sana. Wengine wanahangaika kutafuta waume, wengine bado wanacheza. Ni vurugu tupu yaani...
Pole sana bro, I hope umepoa lakini sasa
 
Back
Top Bottom