myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukionyesha nia ya dhati tu bro hana hiyanaFanya mimi niwe wa kwanza basi[emoji41][emoji41][emoji41]
Sembe maini hiko 🔥🔥Acha kushindanisha epe kuku na vitu vya ajabu 😀
Ila wakishishua bhana list yako ya menu sio poa
Nipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
Ongea taratibu wakishua wa ukweli Numby na TH wakitusikia wataona tunawasemaSembe maini hiko 🔥🔥
Wakishua wewe mzee wa kukuz
Saa 7 nayo haifiki 💃
😂😂😂😂Ongea taratibu wakishua wa ukweli Numby na TH wakitusikia wataona tunawasema
Acha tu yan 😂😂Break time 😂
Emu tukuone tuthibitisheNakula sana story lakini sioti kitambi
Ila huko Uzaramuni mna mambo. Sasa hizo karanga zimechemshwa na makorokocho gani hayo?
Nakula sana story lakini sioti kitambi