Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Yani uone kajikitambi changu kweli?Emu tukuone tuthibitishe
Acha tu yan 😂😂
Hapa ni saa 9 lakini natamani iruke hadi saa 10 na nusu
Heheh!😀😀 ongeza chumvi kidogo
Kasogezee mshale basi 😂Bado dk chache
Heheh!
Ndio kwani ni dhambi?Yani uone kajikitambi changu kweli?
Kwani shule hazijafungwa tu? 😀Hii jumanne ya Leo naiona ndefu 😣
Kasogezee mshale basi 😂
Mixer na chai za hapa na pale hapo lazima kitambi kitokeMimi story bila chumvi sitakagi
Asante sanaWakusoma poleni sana..
Heheh!Ndio kwani ni dhambi?
BadooKwani shule hazijafungwa tu? 😀