Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaaani bhageshii umetokeaa wapii.!!!! Ah nabembeleza nione kiganja hapa[emoji23]




The don, shikamoo[emoji120]

Kiganja kiganja au una maana nyingine ya deep zaidi TH? Mpaka sasa kweli bado hujaona kiganja cha King? Hata kile mashuhuri kinachozungukaga humu?

Asante kwa salamu yako ya heshima TH. Inatia moyo kuona kuwa pamoja na usasa wote na utandawazi huu uliotamalaki bado kuna maandaeitini wenye adabu na heshima za kuamkia kaka zao kwa kizingatia mila zetu. Asante sana TH...

MARAHABAAAA [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…