Arsenal leo inanipa raha sana yaan[emoji3]
😀😀 mmefanyiwa wepesi mmepangiwa team B
Arsenal leo inanipa raha sana yaan[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji847]Hahah! Kumbe kiganja kwa huku mbele?
TH bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Unanikoshagahapotu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhenga gani ana Misumari
Sababu ni hii hapa[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Wahenga wote wana ndala full kupigwa makofi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii
Ndala nyingine nzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeeeh! Hiyo ndivyo ilivyo kila dalili zinaonyesha hivyo
Alafu bro Moud juzi aliinasa hii nilimuona kaiongelea
Moud siku hizi kawa muongeaji sijui mzaramo yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hujaona taarifa wababa wakigeuza cowbell [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitu kinashuka taratiiiibuuuu
Hahah! Siku hizi nae mixer kupost na Misambwanda sio siri kachangamka vizuri sana
[emoji3][emoji3] mmefanyiwa wepesi mmepangiwa team B
Hahahah! Kwakweli wanafaidi ila sio kama rika lenu
Kuchomwa Misumari Vs Kuwa Ndama
Kaponea chupuchupu huyu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]