Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiganja kiganja au una maana nyingine ya deep zaidi TH? Mpaka sasa kweli bado hujaona kiganja cha King? Hata kile mashuhuri kinachozungukaga humu?

Asante kwa salamu yako ya heshima TH. Inatia moyo kuona kuwa pamoja na usasa wote na utandawazi huu uliotamalaki bado kuna maandaeitini wenye adabu na heshima za kuamkia kaka zao kwa kizingatia mila zetu. Asante sana TH...

MARAHABAAAA [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaha, kiganja hicho hicho sina maana nyingine....ila nilikuwa nataka nikione tu kikiwa kimepinduliwa kule kwenye fingerprints[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli kabisa The don, usasa huu unatuharibu ila wachache bado tupo....Asante kwa kupokea na kushukuru[emoji120][emoji120]
 
Hahah! Kumbe kiganja kwa huku mbele?

TH bhana
 
FB_IMG_1572452467693.jpeg
 
Back
Top Bottom