Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Unaogopa nn tena?Naogopaaaaaaaaaa πππ
hahahahahahahah,Kwako pia shem mzuri
Mtani nilikua natafakari huu ujumbe hapa nikasema itakuwa jana haukusahau kunywa dawa π π π π π π[emoji23][emoji23][emoji23] mtani ni nini kuniweka kwa trashcan??
Bhana don't be threatened na hizi kauli za mitandaoni.
Hizi ni kauli za kujifariji tu endapo itatokea umechapiwa uone ni kitu ya kawaida.
Mapenzi ni matam na kusalitiwa kunauma.
Pendaneni,heshimianeni.
#ndoanaiheshimiwenawatuwote
#kuchapanakuchapiwaniuwamuziwamtu
[emoji124][emoji124][emoji124]ngoja nirudi kulala[emoji111]
Bro kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamu yake niitieni aje kunipoza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana hapa nasubiria tamasha lidode akome
Habari za asbh wakuu, mashemeji, kaka na dada zangu.
Muwe na siku njema!!
ππππSalaam, tunashukuru bro
Leo niko sawa sana Bro!Bro kwema?
Mbona unaandika tumaandishi tudogo tudogo hivyo tusione πππ
Tunakusubiria bro.Tulifungwa lakini tulifaidi kuwapiga vyenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1249533
Asubuhi ya amani.
Mpendwa salama?Asubuhi ya Upendo.
Bae wa nini kwangu nawaachia vijana wakati wangu umeshapita πππMpendwa salama?
Ukiendelea hivi tutakupatia bae kirahisi sana ππππ
hahahahahahah, poa bro.Leo niko sawa sana Bro!
Nikiandika maandishi makubwa shabiki wa Arsenal na Chelsea watasema "NAJIMWAMBAFY", Bro π π