Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
DahLeo niko sawa sana Bro!
Nikiandika maandishi makubwa shabiki wa Arsenal na Chelsea watasema "NAJIMWAMBAFY", Bro 😀 😀
DahLeo niko sawa sana Bro!
Nikiandika maandishi makubwa shabiki wa Arsenal na Chelsea watasema "NAJIMWAMBAFY", Bro 😀 😀
Nasema wewe endelea hivyo hivyo hlf utaona.Bae wa nini kwangu nawaachia vijana wakati wangu umeshapita 😁😁😁
Mpendwa usinitake kuniweka kwenye timu bae ulimwengu huo sipo kabisaaaaaa.Nasema wewe endelea hivyo hivyo hlf utaona.
#mmeshaanzaKifanaMiamdiko😀
Picha unazo Shem mzuri ila ujaamua kuweka 😂hahahahahahahah,
Sijui uzuri upi huo, itabidi uniambie.
Siunaona shem wako hata picha ya profile sina nabadilisha badilisha katuni tuu 😀 😀 😀 😀 😀 .
Ahsante sana Bradha,hahahahahahah, poa bro.
Aisee, nimefurahi kusikia "upo poa sana".
A good day to you.Msalimie shemeji coco.
Subiri waje 😁😁😁😁Mpendwa usinitake kuniweka kwenye timu bae ulimwengu huo sipo kabisaaaaaa.
Nimeanza kufanana muandiko na nani? 😁😁
Ndiwoooo 🙈🙈Unaogopa nn tena?
Depal mambo?
Zipo ila hazifai.Picha unazo Shem mzuri ila ujaamua kuweka 😂
🙏🙏🙏Ahsante sana Bradha,
Nakutakia siku njema pia.
😁😁😁NawasubiriSubiri waje 😁😁😁😁
Naomba uje kule unioneshe 💃Zipo ila hazifai.
Msemo wa mwanaume hasifiwi sura niliutinga mimi😅😅😅😅
#joking
Mambo poa kidogo C'poolDepal mambo?
Pole kwa kichapo cha jana.
Siku nyingine fanya chaguzi sahihi.
Karibu UNITED.
Sweet akikuonesha tafadhali usinisahau na mimi mpenzi 😁😁😁Naomba uje kule unioneshe 💃
#nithibitishe
WowMambo poa kidogo C'pool
Mmetuotea tu aisee basi isiwe noma 😊
Asante kwa mwaliko 😂