Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
@Daemusin hajatokea kutoa tamko kuhusu hii picha yake??hatimaye leo mchana kamera zilizotegwa na shushushu mahiri Numbisa zimemfuma bwana Daemusin akifaidi sembe huko visiwani
View attachment 1248330
Nilikwambia wewe bado mtoto🤣🤣🤣Dogo🙊
Kumbe unawezea eeh!
Hivi me nakwama wapi kukariri inavyoandikwa 🙆.....
😂😂😂😂Mambo ya brother Relief haya🤣🤣Wacha bwana
View attachment 1248673
Watoto wa kishua hamjui hizi mambo 😂
😂😂😂😂 we jikute tuNilikwambia wewe bado mtoto🤣🤣🤣
Ukikua utajua😂😂
Kwamba me sizijui Nazi za kukuna?Sasa we si umekuta nazi za kopo
[emoji23][emoji23][emoji23] mtani ni nini kuniweka kwa trashcan??[emoji1005]
Marhabaaa[emoji23]Shikamoo dada.
Huyu Tena😂😂😂😂😂😂.Nitamuita Karma aje akuumbue 😂😂😂
Kwamba me sizijui Nazi za kukuna?
Naona unajitoa kwa group eeh?[emoji16][emoji16]View attachment 1248673
Watoto wa kishua hamjui hizi mambo [emoji23]
Sasa dogo haya mambo utayajulia wapi🤣🤣😂😂😂😂 we jikute tu
Nazi za azam[emoji119][emoji119]Sasa we si umekuta nazi za kopo
Amekutafutia na mchumba nini huko kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya brother Relief haya[emoji1787][emoji1787]