Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umeanza tena[emoji3][emoji3] hii hoja yako ya kunikimbia hata ingekuwa ya kweli wala haina mashikoKwa umri wako wewe na uhenga wangu mimi si ajabu waweza kuwa hata binti yangu wewe. Cheza huko na viandaeitini vyenzako bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Upepo wa kisulisuli ushapita huo. Sijui kitakuja nini tena. Labda moto ulao....Achana nae hebu, upepo wa kisulisuli unaanza kuvuma upande wangu yeye anaupindua khaa
Aisee[emoji24][emoji24]Upepo wa kisulisuli ushapita huo. Sijui kitakuja nini tena. Labda moto ulao....
Ina mashiko sana. Nyie mabinti wa mid 1990s sijui tu mkoje. Mnajilazimisha uhenga utafikiri hamtahengeka kweli siku moja...Umeanza tena[emoji3][emoji3] hii hoja yako ya kunikimbia hata ingekuwa ya kweli wala haina mashiko
Haki ya nani akija hapatakalika [emoji16][emoji16][emoji16]hatimaye leo mchana kamera zilizotegwa na shushushu mahiri Numbisa zimemfuma bwana Daemusin akifaidi sembe huko visiwani
View attachment 1248330
hatimaye leo mchana kamera zilizotegwa na shushushu mahiri Numbisa zimemfuma bwana Daemusin akifaidi sembe huko visiwani
View attachment 1248330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani jamani