Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nifungulie PM nikutumie. Kwani mimi najali basi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kufurahisha baraza tu as usual. Ningekuwa sijastaafu dah. Umri umeenda sana kamanda. Hizi zama za akina King hizi na group lake la maandaeitiniKamanda kwenye ubora wako[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
We nae utafanya nisitumiwe picha mimiKamanda kwenye ubora wako[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Keshakuharibia tayari. Anafikiri mi baharia [emoji16][emoji16][emoji16]We nae utafanya nisitumiwe picha mimi
Khaa kumbe, basi mimi kila saa narefresh huko piemuni, nimevunjika moyo walahiKufurahisha baraza tu as usual. Ningekuwa sijastaafu dah. Umri umeenda sana kamanda. Hizi zama za akina King hizi na group lake la maandaeitini
Kwa umri wako wewe na uhenga wangu mimi si ajabu waweza kuwa hata binti yangu wewe. Cheza huko na viandaeitini vyenzako bana [emoji16][emoji16][emoji16]Khaa kumbe, basi mimi kila saa narefresh huko piemuni, nimevunjika moyo walahi
Achana nae hebu, upepo wa kisulisuli unaanza kuvuma upande wangu yeye anaupindua khaaKeshakuharibia tayari. Anafikiri mi baharia [emoji16][emoji16][emoji16]