Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali hiyo ilinifanya niwe na roho ngumu sana ndo maana haya mambo wala siyachukulii siriazi kivile. Liwalo na liwe na kama lipo linalopaswa kutokea na litokee tu kwa kweli...

Ila Karma nayo huwa haina simile. Ukitenda jambo kwa moyo mweupe kabisa, kwa nia ya dhati na njema halafu ukaishia kunguwazwa, wala usighafirike. Mwachie mzee baba Karma. Huwa anajua kunyorosha watu vibaya sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee usiwe hivyo bwana we kuwa siriazi tu huwezi jua uliepushwa na nini kwa hayo yaliyokutokea
 
IMG_20191028_134313_6.jpg

😋😋
 
Back
Top Bottom