Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa kawaida kinga ya mwili pamoja na vimelea vinavyokaa mwilini vya aina ya bacteria huzuia fangasi hawa wasiongezeke.
Hali hiyo ilinifanya niwe na roho ngumu sana ndo maana haya mambo wala siyachukulii siriazi kivile. Liwalo na liwe na kama lipo linalopaswa kutokea na litokee tu kwa kweli...Pole sana bro, I hope umepoa lakini sasa
Hahah! Sawa bro haina nomaKweli tupu. Siku ukiamua kujaribu kilimo cha nyanya na dengu nipo. Ushauri kama wote [emoji16][emoji16][emoji16]
Alafu bro mwenyewe tu unayumba nakushangaa sana ila kila kitu kipo wazi 😀😀Umeanza [emoji16][emoji16][emoji16]
Usione vyaelea bro. Naamini tayari majamaa yalishafanya kweli kama sikosei
Nilidhani ni mkubwa zaidi ya hapo. Kuna watu wana siksite bado kabisa ukiwaona. Mungu Amuongezee na mingine mingi [emoji1545][emoji1545]Miaka 60 si haba kwa maisha ya sasa[emoji120][emoji120]
😂😂 we ndio wale kama kuna safari alfajiri unaona usiku unachelewa kukucha.Kwani umefunga leo au kesho unaenda ulaya, mbona malalamiko yamezidi kipenzi chetu?[emoji23][emoji23]
Hangover inakupelekaje KD?Noma sana mtu unaweza usioe hivi hivi
PM yangu iko wazi, am waitingNifungulie PM nikutumie. Kwani mimi najali basi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Usiwaamini 😂Hahahaha wanaokujua huwa wanasema jinsi ulivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kalewa kiepe kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hangover inakupelekaje KD?