Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1782.JPG

Why?!!
 
Huna ugomvi na wasiojulikana?
Ingawa nadhani wasiojulikana wakikutaka wanakupata popote pale, labda uwe nje ya nchi na huna mpango wa kurudi bongo
Mitaa gani hiyo bro nikawatimizie hitaji lao sasa hivi?

Picha yangu hapa haitakuwa na madhara. Sina deni na mtu. Sitafutwi na dola. Ni mzee wa Koromije tu mkulima wa nyanya na dengu sasa niogope nini bro?
 
Tena mara nyingi ogopa sana mwanamke aliyebakisha siku chache kabla ya ndoa, anachofanyiwa humo ndani na mchepuko, kama wewe ndiye muowaji ukichungilia unaweza kwenda kumeza klokwini mambo yaishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana bro!

Kumbe ni kawaida haya mambo, mimi jana tu nimeona mkasa kama huu wako yani mtoto kavishwa Pete juzi tu na jamaa alafu harusi ni mwezi ujao ila alichofanya jana daah!
 
Mi nilishashuhudia shoo za kibabe kuwahusu ma bi arusi watarajiwa, daaa.
Ni shoo za maangamizi.
Watu wanafukua kinyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida sana haya mambo bro. Tena ukimvisha pete ndiyo majamaa yanaanza kupiga shoo za maagano. Kama ndiyo umewekeza kabisa kabisa moyo wote na resources unaweza kuathirika sana usipokuwa na washauri wazuri. Ndiyo maana mi nikiona njemba kaua mtu kwa hizi ishu wala sishangai sana. Wengine wanahangaika kutafuta waume, wengine bado wanacheza. Ni vurugu tupu yaani...
 
Kuna uzi mmoja mkongwe niliona watu wanakumwagia povu la hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Mitaa gani hiyo bro nikawatimizie hitaji lao sasa hivi?

Picha yangu hapa haitakuwa na madhara. Sina deni na mtu. Sitafutwi na dola. Ni mzee wa Koromije tu mkulima wa nyanya na dengu sasa niogope nini bro?
 
Back
Top Bottom