Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
Pia mtandao ni ajira na ni maisha ya watu, au we unazungumzia mtandao gan?Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Pia mtandao ni ajira na ni maisha ya watu, au we unazungumzia mtandao gan?Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Hehehehee naombea uwe na ile furaha daima😂😂😂😂 furaha ikizidi inakua ni hatari sana sio siri, nikaona nikate kiu ya Carb
#Kumbeuliona
😂😂😂 Umeua Mtani.Sure, halafu utatukuta tunajiachia kwenye Celebrity forum kuponda kwamba Ali Kiba hana utajiri, Diamond hajanunua nyumba fulani, nk.
Hapo wengine tumeingia kwa freebasics.
Mimi nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi!
[emoji3][emoji3]
Kwan mleta mada yy ana shngap afu yy humu kafkaje?Bora umemwambia boss,,,
Tena ungeomba atoe dili aone kam atatuona
Napata wakati mgumu washkaji wanapolia kwa uchungu
Anza ww[emoji117][emoji117]Swali linajibiwa na jibu sio swali tena
Piteni hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Ilimlad ni blogs utajua wwBlog zote za ngono.
Pole sana.Asee, pole sana.
Mi naogopa sana septemba, mwezi huo niliwapoteza wapenzi watatu.
Sep 20, 24 na 25.
Mamdogo,
Mdogo wangu
Mama mzazi
Wote wamepishana miaka tu mwezi ni ulele
Usuper star mzigo wa mwiba ukiubeba unaumia
Hakuna ashindwalo Mungu akitaka inakua
Hahaha siamini sio kwa furaha ile mpaka carba akapata bahat ya kumuona king laivu
Mzima kabisa,kama bando la halonight
😀😀😀Mnafanyakazi saa ngapi?
Miisho ya miaka kweli huwa siyo kipindi kizuri sijui kwa nini.
Innal lillah wainnah lillah RajiunNipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
Sawa kabisa Shadeeya pilika za kazi hazizuii kuingia JF kujumuika na wananzengo, kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yako huku kazi na vikao vinaendelea kama kawa, maisha ukiyafanya rahisi yanakua rahisi tu mamii
Kamanda ujue nilitamani sana kuona picha za andaeitini wetu hapa, ndiyo maana tulitimia picha ya mfalme kama mtego, pia kumbuka kuna mmoja alidai ana misumali kifuani[emoji23][emoji23][emoji23]. Daaa,[emoji23][emoji23] nilitamani sana kuona hiyo misumali, lakini hawajaja kumuona mwana wa Mfalme[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Hivi ni kweli King kaonekana japo kwa picha tu au mnatania? Tangu juzi naona Moud anaita watu waende na picha zao PMni kwake ili awape ya King. Mara tena kaonekana laivu [emoji16][emoji16]
Jana katuma picha yake kaona carba tu kisha akafuta
Hahah binti mpole bhanaHehehehee naombea uwe na ile furaha daima
#ubuyumuhimusana