Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Noma sana broTena mara nyingi ogopa sana mwanamke aliyebakisha siku chache kabla ya ndoa, anachofanyiwa humo ndani na mchepuko, kama wewe ndiye muowaji ukichungilia unaweza kwenda kumeza klokwini mambo yaishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]