Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
😁😁😁 zipo picha zake nyingi tuHaki ya nani akija hapatakalika [emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁 zipo picha zake nyingi tuHaki ya nani akija hapatakalika [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii abari sijaipata mapema[emoji19] kesho nayo sikuNina hamu na chips kuku + mirinda nyeusi ya baridiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee, eti mid 90s....muda huo nilikuwa mtu mzima kabisaIna mashiko sana. Nyie mabinti wa mid 1990s sijui tu mkoje. Mnajilazimisha uhenga utafikiri hamtahengeka kweli siku moja...
Aiseh!
Sasa naelewa kwanini wasema kuchapiwa hakuepukiki
Pole sana SYB
🗑Hakuepukiki shemeji. Huo ndo ukweli [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji1005]
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema aisee, sijui huko.[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kwema bro?
Shikamoo dada.😁😁😁😁😁