Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanafunzi mna Nini lakini[emoji1787]
Screenshot_20190921-202541.jpeg
 
Kuoga maji ya moto kwa muda mrefu
Epuka kuoga maji ya moto mara kwa mara kunaweza kufanya yale mafuta natural yanayo moisturize mwili kukauka, ili kuepuka tatizo hili ni vyema ukatumia maji ya uvuguvugu au baridi katika kuoga au kunawa mwili wako.
 
kutumia vipodozi vyenye Alcohol Nyingi
Alcohol nyingi husababisha ngozi kuzidi kuwa kavu, wakati wa kwenda kununua vipodozi vyako hakikisha unasoma maelezo na kujua kiasi cha alcohol kilichopo kama ni nyingi usichukue chukua yenye kiasi kidogo.
 
Kuosha Ngozi Na Sabuni Mara Kwa Mara Na Kusugua Kwa Nguvu
Kuosha ngozi mara nyingi sana na sabuni ni njia ya mojawapo ya kupata ngozi kavu. Ngozi kavu iliyokasirika huathirika zaidi na maambukizi ya bakteria kwa sababu kuosha mara nyingi huondosha safu za kinga ya ngozi yako.
 
Sawa kabisa Shadeeya pilika za kazi hazizuii kuingia JF kujumuika na wananzengo, kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yako huku kazi na vikao vinaendelea kama kawa, maisha ukiyafanya rahisi yanakua rahisi tu mamii
Hakika Ses na ndio sababu nikiwa sina wateja kwenye kibanda changu nakuwa nachungulia huku saa zote. 😂😂😂😂
 
Sawa kabisa Shadeeya pilika za kazi hazizuii kuingia JF kujumuika na wananzengo, kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yako huku kazi na vikao vinaendelea kama kawa, maisha ukiyafanya rahisi yanakua rahisi tu mamii
Eti eee!! Ndio sababu nasikia eti haujui kitufe cha kulog out kinapatikana wapi 😜 ili kupata rahisi ya kuchungulia Jf pindi nafasi inapopatikana. 😜.
 
Back
Top Bottom