myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh![emoji23][emoji23][emoji23]
Mkorea anapiga sembe na dagaa??
Duh![emoji23][emoji23][emoji23]
Mkorea anapiga sembe na dagaa??
Malahaba mtoto mzuri hujamboShikamoo dada.
Ni mzima, hofu kwako.Malahaba mtoto mzuri hujambo
We nae utafanya nisitumiwe picha mimi
Usiwaamini [emoji23]
Kwa umri wako wewe na uhenga wangu mimi si ajabu waweza kuwa hata binti yangu wewe. Cheza huko na viandaeitini vyenzako bana [emoji16][emoji16][emoji16]
hatimaye leo mchana kamera zilizotegwa na shushushu mahiri Numbisa zimemfuma bwana Daemusin akifaidi sembe huko visiwani
View attachment 1248330
[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe na wewe mkorofi eeh!?
Shauri yako, wanakupoteza ujue?Nawaamini sana, maana hawajawahi kunidanganya[emoji23][emoji23]
Nimeiokota sehemu,nikacheka Sana[emoji1787][emoji1787]Kumbe na wewe mkorofi eeh!?
3:2902:59