Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
AminaMungu atupe afya na uzima..
AminaMungu atupe afya na uzima..
Na kwakoSalam kwenu wote
Na unavyoutamani huo ukubwa afu wenyewe haukutaki 😂Hahahaha..
Kalale dogo ukue.
Huku tuache wakubwa[emoji1787][emoji1787]
Nimekupenda bure mamii, yaani umepiga ikulu, umepita mlemleee, yaani kitufe cha ku log out hata sikumbuki kiko upande gani maana naogopa nisipitwe na ya huku jukwaani Shadeeya wanguEti eee!! Ndio sababu nasikia eti haujui kitufe cha kulog out kinapatikana wapi 😜 ili kupata rahisi ya kuchungulia Jf pindi nafasi inapopatikana. 😜.
Watoto wadogo nyie mna tabu Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na unavyoutamani huo ukubwa afu wenyewe haukutaki [emoji23]
😍😍😍😍Nimekupenda bure mamii, yaani umepiga ikulu, umepita mlemleee, yaani kitufe cha ku log out hata sikumbuki kiko upande gani maana naogopa nisipitwe na ya huku jukwaani Shadeeya wangu
Wako maofisini hapo,ukiambiwa njoo kesho,fail lako halionekani wako JF full time.Mnafanyakazi saa ngapi?