Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
DahLeo niko sawa sana Bro!
Nikiandika maandishi makubwa shabiki wa Arsenal na Chelsea watasema "NAJIMWAMBAFY", Bro π π
Nasema wewe endelea hivyo hivyo hlf utaona.Bae wa nini kwangu nawaachia vijana wakati wangu umeshapita πππ
Mpendwa usinitake kuniweka kwenye timu bae ulimwengu huo sipo kabisaaaaaa.Nasema wewe endelea hivyo hivyo hlf utaona.
#mmeshaanzaKifanaMiamdikoπ
Picha unazo Shem mzuri ila ujaamua kuweka πhahahahahahahah,
Sijui uzuri upi huo, itabidi uniambie.
Siunaona shem wako hata picha ya profile sina nabadilisha badilisha katuni tuu π π π π π .
Ahsante sana Bradha,hahahahahahah, poa bro.
Aisee, nimefurahi kusikia "upo poa sana".
A good day to you.Msalimie shemeji coco.
Subiri waje ππππMpendwa usinitake kuniweka kwenye timu bae ulimwengu huo sipo kabisaaaaaa.
Nimeanza kufanana muandiko na nani? ππ
Ndiwoooo ππUnaogopa nn tena?
Depal mambo?
Zipo ila hazifai.Picha unazo Shem mzuri ila ujaamua kuweka π
πππAhsante sana Bradha,
Nakutakia siku njema pia.
πππNawasubiriSubiri waje ππππ
Naomba uje kule unioneshe πZipo ila hazifai.
Msemo wa mwanaume hasifiwi sura niliutinga mimiπ π π π
#joking
Mambo poa kidogo C'poolDepal mambo?
Pole kwa kichapo cha jana.
Siku nyingine fanya chaguzi sahihi.
Karibu UNITED.
Sweet akikuonesha tafadhali usinisahau na mimi mpenzi πππNaomba uje kule unioneshe π
#nithibitishe
WowMambo poa kidogo C'pool
Mmetuotea tu aisee basi isiwe noma π
Asante kwa mwaliko π