Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"




Marcus Rashford turns 22 today! He scored on his debut in the Premier League, Europa League, Champions League, League Cup and FA Cup. He's scored 52 goals and made 29 assists know 184 appearances at his tender age.

Happy Birthday to our star in the making!
 
Katika mawaziri ambao sijaona kazi zao awamu hii ni waziri wa nchi (OR), Utumishi wa uma na utawala bora. Waziri anatishia kuua, yupo kimya RC's na DC's wanatoa kauli za ajabu yupo kimya, wanashutumiwa kufanya kinyume na maadili ya utumishi wa uma yupo kimya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…