Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We na shunie ni wazembe kwenye code[emoji23][emoji23][emoji23] angekuwa Karma hapa ashaelewa.

Yule I'd yake ina Z afu mbishiiiii
Yaani Mimi kwenye code Ni kilaza namba moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anhaaaa Sasa nimekueleza mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yule bhana yule [emoji23][emoji23][emoji23]..kwanza uliniona nae kwenye Uzi gani.?
Nataka nikuhadithie kinaga ubaga[emoji2960]
 
Kwa kujitetea tu nakupa A plus Dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hujaniona usoni nikiwa naongea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kabla sijamaliza unanionea huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwanza naongeaga neno moja moja maskini Mimi[emoji23][emoji23].

Kutamani vitu vya jirani kwa lengo la kuvipata na wewe Kama vyake Ni vizuri...
Kutamani kwa jicho la husuda ndiko MUNGU hapendi
 
Kama mnaongea umbea kwenye huu uzi hatutaki code mnatupa tabu kujua nani anazungumzwa😁😁😁
 
Nakuja kwenu jioni kuthibitisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…