Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yes hizo hizo,nazionaga telenovela ila kusubiria episode za mbele majanga tupu
Haha poa Numby, nikifumania jimbo lake ntakupa tips...

Kuna siku ulipost makala flan hapa, sikumbuk lakin ulikuwa unazungumzia Application zinazofanya kazi sawa na Shazam inavyofanya kazi...

Kuna hiyo App, uliipost yenye ina sifa zaidi ya Shazam (Shazam,imebase hasa kwenye music) ila hyo App nyingine inafanya kazi hadi kwenye Movie(mfano jina la movie hulijui ila ukiwasha hyo App tu, inakuletea jina la movie)

Nisaidie jina la hiyo App..
 
Ngoja niitafute story nzima niilete hapa
 
One fine day, in the middle of the night, two, dead boys got up to fight. Back to back, they faced each other, drew their swords and shot each other.

A deaf policeman heard the noise, and saved the lives of the two dead boys. If you don't believe my lies are true, ask the blind man, he saw it too!
 
Samuel Etoo.
Anadai yeye ndiye mchezaji bora wa muda wote Afrika mpaka sasa.
Anasema hakuna cha George Weah, Roger Mila, Nwanko Kanu, Jey Jey Okocha wala Abed Pele.
Toa maoni yakoView attachment 1251026

Namkumbuka goli lake la kwanza fainali ya Man United sema Tu amekosea kujisifia anakuwa kama Penaldo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…