Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
ha ha ha kule zanziberi nafkiri wanatongoza na urojo mwenye bakuli kubwa la urojo ndo atakubaliwaBrazil wanaume hutongoza kwa samaki
Katika kijiji kidogo cha Mehinaku, katikati mwa Brazil, wanawake huwa na njia rahisi ya kuchagua nani wa kumkubali kati ya wanaofika kuwatongoza. Wanaume wanaomshindania mwanamke fulani hufika wakiwa na samaki. Mara nyingi, aliyefika na samaki mkubwa kabisa huwa ndiye mshindi!
ha ha wajichanganye sasa kama hawajatuomba poo wenyeweHahahahaha huku mbona watu watafyatua kila baada ya miezi kadhaa serikali itapata hasara kubwa kwa hizo zawadi