Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Akikukubalia huwa unaliaje?[emoji848][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1251340
It is now a crisis. Negative population growth.Wajapani hawashiriki tendo la ndoa sana
Japan ni taifa jingine ambalo linashuhudia kushuka kwa kiwango cha watoto wanaouzaliwa. Matumizi ya mipira ya kondomu, tembe za kuzuia kushika mimba na visa vya maambukizi ya magonjwa ya zinaa vyote vinashuka. Kunio Kitamura, ambaye ni mkuu wa chama cha uzazi wa mpango nchini Japan anasema, "Ufafanuzi pekee wa kueleza hili ni kwamba Wajapani wameanza kupunguza ushiriki wao wa tendo la ndoa."
Za miaka na miaka?Akikukubalia huwa unaliaje?[emoji848]
Mbeya kuna vitu/milo tofauti kwani?Najikubali...ila najua kupika vitu vya mbeya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
true storyRipoti ya hivi majuzi ilibaini kwamba idadi ya wanandoa ambao wanaishi pamoja bila kushiriki tendo la ndoa imeongezeka sana. Theluthi moja ya wanaume walisema huwa wanachoka sana kiasi cha kutokuwa na hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Robo ya wanawake walisema huwa hawafurahii tendo la ndoa. Utafiti mwingine uliangazia vijana wa miaka kati ya 18 na 34 na kubaini kwamba idadi ya mabikira imeongezeka sana katika mwongo mmoja iliyopita. Asilimia 45 kati ya waliohojiwa kwenye utafiti huo walisema hawajawahi kushiriki ngono.