Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Aisee, halafu nasikia unajua kupika hamna mfano.Ubwabwa boss
Najikubali...ila najua kupika vitu vya mbeya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee, halafu nasikia unajua kupika hamna mfano.
[emoji3][emoji3] Bro shikamoo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bro mimi Carba ni kama dada yangu japo sio dada yangu.Sina makali kabisa, ondoa shaka.
Marahaba sis. Nakutakia wikendi njema na yenye mibaraka wewe pamoja na wapendwa wako. Zingatia ujumbe huu ulioweka jana...[emoji3][emoji3] Bro shikamoo