Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu mpiga picha wa Uganda amekuwa mashuhuri duniani kote kwa kupiga picha zinazoonyesha utamaduni wa Mwafrika katika mtazamo mpya unaoonyesha matumaini na furaha.
Salama bro?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huku salama bro. Kwema huko uliko?Salama bro?
Wkend inaanzaje hapo.
#mbonaKamaHuniamini?
kwamba hakuna mkuu wa Mkoa hata mmoja anaweza kuiga haya mambo mazuri?Urusi kuna siku ya Kutungwa kwa Mimba
Jimbo moja nchini Urusi limeanzisha njia ya kipekee ya kusaidia watu kuzaana kwa wingi baada ya kugundua kwamba idadi ya watu inapunguza kwa kasi. Gavana wa jimbo la Ulyanovsk, mashariki mwa Moscow alitangaza 12 Septemba kila mwaka kuwa Siku ya Kutunga Mimba. Hii ni siku ya mapumziko ambapo wanandoa huhamasishwa kukaa nyumbani kwa lengo moja pekee, kuhakikisha wanatunga mimba na kuzaa watoto zaidi. Wanandoa wanaojaliwa watoto miezi tisa baada ya siku hiyo hupewa zawadi nono. Baadhi hupewa kamera, majokofu na wengine mashine za dobi (za kufua nguo na kuosha vyombo).
Hahahahaha huku mbona watu watafyatua kila baada ya miezi kadhaa serikali itapata hasara kubwa kwa hizo zawadikwamba hakuna mkuu wa Mkoa hata mmoja anaweza kuiga haya mambo mazuri?
Kuna ukweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
Karibu Sana bossMbeya kuna vitu/milo tofauti kwani?
Itabidi nijitahidi kufanya utalii wa ndani.Tuwe tunakaribishana.