Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inatupasa kufanya mabadiliko katika
milo yetu na maisha kwa ujumla
-Kipi cha kubadilisha katika mlo.
Chakula chako kisiwe na mafuta mengi,
zuia utumiaji kupita kiasi wa chumvi na
potassium, na upendelee kula matikiti
maji au apples na katika chakula chako
kiwe na kiwango kidogo cha protein. Na
pia matumizi ya maji yawe si chini ya
glasi nane kila siku
-Mfumo wa maisha Pendelea kufanya mazoezi hili kuweka uzito wako vizuri na kupunguza uwezekano wa kupata kisukari,na utapiamlo. Na pia zuia matumizi ya pombe na kuacha sigara.
 
FB_IMG_1572156156712.jpeg
 
Nilidelete blog yangu yenye watembeleaji zaidi ya 15 milioni (tena wabobevu wanaojielewa na siyo wafakamia urojo kama @Daemusin) kwa shingo upande na mpaka leo nina hasira na jambo hili ndo maana hata kushiriki mijadala mizito sina motisha kabisa.

Ni mwendo wa kula likes tu na sembe aisee. Hovyo kabisa !!!
kwa tafsiri ya haraka haraka kwa mujibu wa hili andiko lako ni kwamba daemusin ni good for nothing.
 
Back
Top Bottom