Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inatupasa kufanya mabadiliko katika
milo yetu na maisha kwa ujumla
-Kipi cha kubadilisha katika mlo.
Chakula chako kisiwe na mafuta mengi,
zuia utumiaji kupita kiasi wa chumvi na
potassium, na upendelee kula matikiti
maji au apples na katika chakula chako
kiwe na kiwango kidogo cha protein. Na
pia matumizi ya maji yawe si chini ya
glasi nane kila siku
-Mfumo wa maisha Pendelea kufanya mazoezi hili kuweka uzito wako vizuri na kupunguza uwezekano wa kupata kisukari,na utapiamlo. Na pia zuia matumizi ya pombe na kuacha sigara.
 
kwa tafsiri ya haraka haraka kwa mujibu wa hili andiko lako ni kwamba daemusin ni good for nothing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…