Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poti. Nataka siku moja kufika Namagondo alikozaliwa Shaaban Robert wa pili. Nikishuka Nansio naelekea wapi?
FB_IMG_1438000997875.jpeg
 
Arsenal hawajawahi kupoteza mechi ya Ligi Kuu England iliyoanza saa 12 jioni kwa saa za Afrika Mashariki wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani tangu mara ya mwisho walipochapwa na Aston Villa 3-1 kwenye siku ya kwanza ya kufungua msimu, 2013/14. Katika mechi hiyo, straika Christian Benteke alifunga mara mbili, huku Antonio Luna akipiga bao dakika za mwisho kuizamisha Arsenal katika msimu ambao walianza hovyo zaidi.
 
Back
Top Bottom