Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mchezo huo, Emery atalazimika kumweka benchi nahodha wake, Granit Xhaka, ambaye alizomewa na mashabiki na kuwatukana wakati alipokuwa akitolewa kwenye mechi ya sare ya 2-2 dhidi ya Crystal Palace Jumapili iliyopita. Xhaka aliweka mkono sikioni kama vile anawasikiliza mashabiki hao wa Emirates kabla ya kutoa tusi na kwenda moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia.
 
FB_IMG_1441758236811.jpeg
 
Jumanne iliyopita, alipoulizwa kama Xhaka atavuliwa unahodha, kocha Emery alisema: “Kwa sasa, sizungumzi kitu, sitaki kuzungumzia hilo. Kwa sasa amekasirika na ana huzuni. Tukio limetokea hapo tu na bado anaona kama mashabiki hawampendi.”
 
Kuna mechi kibao zitakazopigwa wikiendi hii, mechi ya mapema kabisa, saa 9:30 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki itashuhudia Manchester United wakiwa ugenini kwa Bournemouth, huku Liverpool wao wakiwafuata Aston Villa huko Villa Park kama muda ule watakaocheza Arsenal huku mechi nyingi za muda huo, Brighton v Norwich City, Sheffield United v Burnley, West Ham United v Newcastle United na Man City v Southampton na Chelsea atakipiga na Watford kwao.
 
Back
Top Bottom