Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Haha, naimani nimepatiaa hilo jina bhana..! Vipi wewe wekeend inaendaje mahali hapo.??Eti bhageshi. Huyo kijana wa Sapiwi ndo amekudanganya eeh!?
Nilikuwa naona tu likes zako nikaona nikuite nikusalimie. Wikendi njema TH
Jiandae kupokea watu huko Aseno πSo far humu aliyebakia ni Capital pekee anapambana. Binti Mpole tayari keshabwaga manyanga..labda na Cole sijui ndo anasubiria eti mpaka mwaka kesho [emoji16][emoji16][emoji16]
Iko njema, vipi kwako?Poa wakishua mwenzangu,za weekend?
Shwari kabisaIko njema, vipi kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23]impossible missionJiandae kupokea watu huko Aseno π
πππππ nikweli bro mzigo heavy huo kama ukilemaa inakua nikama accident ya boda boda na FusoUsipojipanga hapo heshima ya ukoo inatetereka [emoji16][emoji16][emoji16]
Ehehehe sawa The Don himself.Tuheshimiane pulizi. Humu nina dada mmoja tu basi...
Ila asante kwa kuitika kwa heshima. Umepotea sana leo. Kulikoni?