D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
pengine babu shimba hakuwa na dhamira mbaya,Alitamba Sana mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nimwambia Mimi maombi ya kuombea njaa Liverpool Ni kupoteza muda,hakunisikia[emoji1787]
Jizazi! Kumbe unabishia asili tu?Mungu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Halafu hata mechi sijaangalia Wala sijawahi kuangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa wote wawili nipo nao Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pengine babu shimba hakuwa na dhamira mbaya,
baadhi ya nyakati inatokezea mr or mrs x anakuombea mafanikio kwa kutumia maneno yaliopinda.
naomba umsamehe babu yetu kwa sababu ameshakuwa mtu mzima na amekuwa akipoteza kumbu kumbu, kitu pekee asichoweza kukisahau kwenye fikra zake ni big booty and curvy.
hilo timbwili naomba umgeuzie yule mshabiki lia lia wa man utd.
anaitwa NUMBISA.
ngoja nikanunue mabisi, chauro na bakuli la urojoooo halafu nirudi
😂😂😂😂😂Hahahaha, basi yaisheee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Jizazi! Kumbe unabishia asili tu?
Nini kilikuvutia huko kwenye timu ya wazee binti mdogo kama wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi timu yangu Ni Liverpool ila huwa siangalii mpira na Wala sip mpenzi wa mpira.
babu ameshalala mapema kwa sababu yakoHawa wote wawili nipo nao Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hasa huyu Babu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..nilimwambia kuwa Leo lazima Alie[emoji1787][emoji1787]
Nilitokea kuipenda tangu enzi nakua.Nini kilikuvutia huko kwenye timu ya wazee binti mdogo kama wewe?
Hii Samsung ni toleo gani Bro?
Ndio maana mmefungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchana kalalamika usingizi,chezea mkesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]pengine babu shimba hakuwa na dhamira mbaya,
baadhi ya nyakati inatokezea mr or mrs x anakuombea mafanikio kwa kutumia maneno yaliopinda.
naomba umsamehe babu yetu kwa sababu ameshakuwa mtu mzima na amekuwa akipoteza kumbu kumbu, kitu pekee asichoweza kukisahau kwenye fikra zake ni big booty and curvy.
hilo timbwili naomba umgeuzie yule mshabiki lia lia wa man utd.
anaitwa NUMBISA.
ngoja nikanunue mabisi, chauro na bakuli la urojoooo halafu nirudi
Wale waombaji waliokuwa wanaiombea hii timu nilikuwa na mashaka nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aston villa leo katukanwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiNdio maana mmefungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale waombaji waliokuwa wanaiombea hii timi nilikuwa na mashaka nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shimba alishika wingu Leo...picha lilianzia hapo[emoji1787][emoji1787]..mi nikaona tu kuwa washashindwa tayari[emoji23]