Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sisi wapenzi wa liverpool baada kutawala soka la England na Ulaya miaka ya 70 na miaka 80 tulikwama kwenye miaka ya 90, tumepitia shida zote hizi kwa miongo miwili.
Hata sasa bado Liverpool haijapata mafanikio yale ambayo tunayataka.
Kinachoendelea sasa ni jitihada za kendea mafakio tunauoyatarajia
Bro hujui tu mateso wanayopata wenzako [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…