Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sishawishiki kumuamini kabisaa!
Teuzi za Magufuli ni mbovu tuu haziaminiki! BAhati mbaya sana CAG ni ngumu kumuondoa baada ya teuzi.
Wasiwasi wangu tunaelekea Zimbabwe.
kwa ufupi raisi wa nchi hii ni ngumu sana kumuelewa,
kuna project anazifanya unagundua yupo sahihi lakini kuna project nyengine anakosea.

yule assad angelimsaidia sana kwenye vita ya ufisadi, cha kusikitisha maazimio mengi aliyoyapendekeza yameshindwa kutekelezwa.
ndipo hapo watu wanapohoji uimara wa raisi kwenye vita ya ufisadi anayojitamba kupambana nayo bila ya uoga na unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…