D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Samaki huyokwenye hiyo mboga wameweka kitoweo gani?
Magu anajua kula na kipofu, vipofu bado wanadai yapo mazuri ako nayo.kwa ufupi raisi wa nchi hii ni ngumu sana kumuelewa,
kuna project anazifanya unagundua yupo sahihi lakini kuna project nyengine anakosea.
yule assad angelimsaidia sana kwenye vita ya ufisadi, cha kusikitisha maazimio mengi aliyoyapendekeza yameshindwa kutekelezwa.
ndipo hapo watu wanapohoji uimara wa raisi kwenye vita ya ufisadi anayojitamba kupambana nayo bila ya uoga na unafiki
acha hii sentensi niihifadhi huenda ikanisaidia mbeleni.And soon, very soon uchumi wetu utakua kama wa Zimbabwe ama Ethiopia.
nimeiangalia tena ile picture lakini bado sijashawishika kama yule ni samaki wa bahariniSamaki huyo
Unamimina mdomoni kama vile unajaza ndoo bomban hakuna kuyasikilizia ladha yake wala yanavyoshukamunaokunywa litre 3- 5 za maji kwa siku munawezaje.
msaada tafadhali