Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
kampeni ya kunywa maji mengi hunishinda kwa sababu ya kuepuka kulala chooni.Unamimina mdomoni kama vile unajaza ndoo bomba hakuna kuyasikilizia ladha yake wala yanavyoshuka
Niliishiaga lita moja tu mie
Niliona 'salaam baadae ikapotea.Njema, mzima.
Quote ipi na ya lini hiyo?