D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nitakulisha sembe, shauri yakoulikuwa muhuni, now ni mtakatifu unayesubiria kumualika daemusin christmass
Nitakulisha sembe, shauri yakoulikuwa muhuni, now ni mtakatifu unayesubiria kumualika daemusin christmass
hahahahahaaaaaa"Mashairi day" leo Daemusin anatuimbisha kwa lazima
kwako sitojutia hata kama utanipikia kiti motoNitakulisha sembe, shauri yako
Heheheheh mbuzi katoriki 😋kwako sitojutia hata kama utanipikia kiti moto
nimesikia ukimla mara moja anaongeza utimamu wa akili, ukimla mara mbili kwa siku anaongeza upumbavu wa kutamani kumla tena na tenaHeheheheh mbuzi katoriki 😋
Walidhan kuvizia virahisi wakamuuza cr7 wakijua bale na benz wataweza kuvizia vizurireal madrid hawataki kubeba ubingwa wa la liga.
adui yako anafungwa 3, cha ajabu na wewe unatoa suluhu uwanjani kwako.
unapiga mashuti takribani 20 lakini hufungi goli
ha ha ha ipo siku humu ndani nitawaimbisha bolingo mjifunze kikongo (kilingala) kwa lazimahahahahahaaaaaa
lazima tubadilike kifikra na kimatendo.
urojo, sembe, mapira, siasa zinachosha kuzijadili mara kwa mara
babu shimba yupo mkalimani wetuha ha ha ipo siku humu ndani nitawaimbisha bolingo mjifunze kikongo (kilingala) kwa lazima